Sijui nani ameimba, lakini I keep on coming back and I believe we cannot let Kenya down. Wanasiasa wezi washenzi tumewapa nguvu za kudhulumu, kuiba, kuuwa na kuharibu nchi yetu. Sasa hatunabudi bali "Lazima Tuwasimamishe Washenzi Wanafik." Ndio nimekasirika sana na kusikitika kuona Kenya ikichomwa.
Bibi Anaimba vizuri sana
Titans select Ward with first pick of NFL Draft
2 hours ago
No comments:
Post a Comment