Kumchukia Kivuitu haisaidii hata tone. Ni muhimu kumuacha azungumze bila ya kuogopa. Hivi sasa Mzee Kivuitu anaona makosa yake pamoja na wasaidizi wa ECK. Ukweli ni kuwa ECK ni muhimu sana kama Kenya yataka kuwa huru. Mtu yeyeote ambaye atapata cheo cha mwnyekiti katika ECK atakuwa anaheshimu jukumu la ofisi ya ECK. Sifikiri atakuwa mnyonge kama Kivuitu. Kivuitu pia ajajivunia uzalendo wake kwa kuzungumza kwa lugha ya taifa.
I am proud of the Kenyans and our corrupt system is about to go down. This video stands for what We Kenyans expect from our leaders, "Speak without fear."
Raducanu crushed by Swiatek in Melbourne
2 hours ago
No comments:
Post a Comment